All
Search
Images
Videos
Shorts
Maps
News
More
Shopping
Flights
Travel
Notebook
Report an inappropriate content
Please select one of the options below.
Not Relevant
Offensive
Adult
Child Sexual Abuse
NTV Uganda Live Streaming Now
Vurugu
TZ
BBC BBC Entertainment News
Vurugu
Za Tanzania
Maandamano TZ
Mauaji
Tanzania
Taarifa Com
Maandamano Latest News
Maandamano
Tanzania
Maandamano Tanzania
Leo
Maandamano
Bara Bara Uscilko
BBC Swahili
Historia Za Majasusi
Ostico Uatulae Ho Watu Roa
Maandamano Ya
Tanzania
Mandamano Mbeya
Mechi Ya Simba Na Yanga Leo
Zari Hassan Latest News
Wasanii Waliopata Udiwani CCM 2025
Vurugu
Song
Magufuli Dodoma Leo
Maandamano Mbeya
Hali Ya Usalama
Tanzania
Length
All
Short (less than 5 minutes)
Medium (5-20 minutes)
Long (more than 20 minutes)
Date
All
Past 24 hours
Past week
Past month
Past year
Resolution
All
Lower than 360p
360p or higher
480p or higher
720p or higher
1080p or higher
Source
All
Dailymotion
Vimeo
Metacafe
Hulu
VEVO
Myspace
MTV
CBS
Fox
CNN
MSN
Price
All
Free
Paid
Clear filters
SafeSearch:
Moderate
Strict
Moderate (default)
Off
Filter
NTV Uganda Live Streaming Now
Vurugu
TZ
BBC BBC Entertainment News
Vurugu
Za Tanzania
Maandamano TZ
Mauaji
Tanzania
Taarifa Com
Maandamano Latest News
Maandamano
Tanzania
Maandamano Tanzania
Leo
Maandamano
Bara Bara Uscilko
BBC Swahili
Historia Za Majasusi
Ostico Uatulae Ho Watu Roa
Maandamano Ya
Tanzania
Mandamano Mbeya
Mechi Ya Simba Na Yanga Leo
Zari Hassan Latest News
Wasanii Waliopata Udiwani CCM 2025
Vurugu
Song
Magufuli Dodoma Leo
Maandamano Mbeya
Hali Ya Usalama
Tanzania
3:02
Vurugu zimeshuhudiwa nchini Tanzania wakati wa uchaguzi mkuu unaoendelea, baada ya makundi ya vijana kuingia mitaani kuandamana. Waandamanaji walifunga barabara, kusimamisha magari na kukabiliana na maafisa wa polisi, hali iliyowalazimu polisi kutumia vitoa machozi kuwatawanya. #KTNLeo #KTNAt35 | KTN News Kenya
340.9K views
6 months ago
Facebook
KTN News Kenya
0:38
VURUGU ZA UCHAGUZI TANZANIA Afisa mkuu wa Polisi wa Kenya katika eneo la mpakani la Namanga, akijaribu kuwatuliza wananchi wanaotaka kuingia nchini Tanzania kushiriki maandamano ya kuwasaidia Watanzania. #MionziyaCocoFM #COCOFM #ladhayapwani | Coco FM
9.6K views
6 months ago
Facebook
Coco FM
3:16
Uchaguzi Tata Wa Tanzania: Kumekuwa na vurugu kubwa katika nchi jirani ya Tanzania baada ya tume ya uchaguzi kuanza kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu unaoonyesha Rais Samia Suluhu Hassan anaongoza. Wananchi kutoka maeneo tofauti ya nchi wamevuruga shughuli za siku. #tanzania #samiasuluhu #kasongo | Abdinoor Halake
30K views
6 months ago
Facebook
Abdinoor Halake
2:24
Toka kutokea kwa vurugu za maandamano wakati wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania, baadhi ya familia zimeelezea kupoteza wapendwa wao, ambapo baadhi wamethibitisha kuuawa huku wengine mpaka sasa bado hawajui wako wapi, baada ya kuwatafuta hospital hasa maeneo ya kuhifadhi maiti na vituo vya polisi. - BBC imezungumza na wahudumu wa afya wakiwemo madaktari kutoka hospitali binafsi na serikali, wanasema kuwa magari yamekua yakichukua miili na kupeleka maeneo yasiyojulikana. Aidha madakatari hao wameomb
216.4K views
6 months ago
Facebook
BBC Swahili
2:12
Kesi ya kwanza kuhusu maandamano na vurugu za kabla na baada ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania imeripotiwa kuwasilishwa mbele ya Mwendesha Mashitaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) mjini The Heague. Nakala ya Waraka huo yenye Kurasa 82 imefikishwa kwa Naibu Mwendesha Mashitaka wa ICC, Nazhat Shameem Khan, katika Ofisi ya Mwendesha Mashitaka wa ICC. Miongoni mwa yaliyoanishwa ni pamoja na mauaji ya kiholela, kupotezwa kwa watu, Utekaji na watu kuteswa pamoja na ukandamizaji wa kisiasa. L
174.8K views
5 months ago
Facebook
BBC Swahili
13:43
Tangu vurugu za maandamano kufuatia uchaguzi mkuu nchini Tanzania, majonzi na hofu vimeendelea kutawala katika baadhi ya familia. Baadhi ya familia zimeelezea kupoteza wapendwa wao katika mazingira ya sintofahamu. Wanaripoti BBC. | Habari 24
588.8K views
6 months ago
Facebook
Habari 24
0:52
Tanzania: Government admits election violence caused disaster
3.9K views
5 months ago
YouTube
RFI Kiswahili
1:43
518 people lost their lives during the October election violence in Tanzania last year.
15.9K views
4 weeks ago
YouTube
RFI Kiswahili
1:34
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepishwa jijini Dodoma kuongoza muhula wa pili, baada ya uchaguzi wa Oktoba 29 uliokumbwa na vurugu na kusababisha maafa, majeruhi na kuharibiwa kwa mali. #tanzania #samiasuluhu #SULUHU#dodoma #daressalaamtanzania | RFI Kiswahili
48.7K views
6 months ago
Facebook
RFI Kiswahili
3:01
#HABARI: Kufuatia vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 kipindi cha Uchanguzi Mkuu na baada ya uchaguzi hali iliyosababisha vifo vya watu na mali za watu binafsi na za umma kuharibiwa, baadhi ya wajumbe wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) wameishauri Serikali wakidai inapaswa kuponya majeraha ya vidonda vya watu wote waliopata athari ya kuondokewa na wapendwa wao pamoja na walioharibikiwa mali zao katika vurugu hizo kabla ya kwenda kwenye maridhiano. Wamesema hali inaonyesha kuna uwep
69.2K views
5 months ago
Facebook
ITV Tanzania
3:32
VURUGU ZA UCHAGUZI MKUU TANZANIA Oktoba 29 imekuwa na matukio kinzani. Upigaji wa kura sambamba na maandamano, licha ya vitisho kutoka kwa mamlaka. #MionziyaCocoFM #COCOFM #ladhayapwani | Coco FM
5.9K views
6 months ago
Facebook
Coco FM
3:39
Uchaguzi Wa Vurugu Tanzania: David Ole Sankok: Kila nchi ya Afrika Mashariki ina katiba yake, siwezi kubali wanaharakati kutoka nchi zingine kupeleka tabia zao mbaya katika nchi zingine. #MduaraNTV | NTV Kenya
9.3K views
6 months ago
Facebook
NTV Kenya
1:47
Maandamano na Vurugu Tanzania - Je dalili za vurugu zilikuwepo au zilipuuzwa? Rais Samia Suluhu Hassan, punde baada ya kuapishwa kama rais wa awamu ya sita nchini Tanzania alitumia hotuba yake kuwaonya ' wageni ' aliowalaumu kwa kusababisha vurugu nchini Tanzania. - Mchambuzi wa masuala ya kiusalama George Musamali anajibu swali hili, Je dalili za vurugu zilikuwepo mapema au habari za kiintelijensia zilipuuzwa? - Vyanzo vya kidiplomasia vimeiambia BBC kuwa kuna ushahidi wa kuaminika unaoonyesha
736.1K views
6 months ago
Facebook
BBC Swahili
3:48
Vurugu na machafuko Tanzania Watu kadhaa wameripotiwa kupoteza maisha yao Machafuko ya uchaguzi yamekumba taifa jirani Makabiliano makali ya siku tatu yanaendelea Tanzania Mataifa mbali mbali yametoa tahadhari za kiusalama #NipasheWikendi | Citizen TV Kenya
193.4K views
6 months ago
Facebook
Citizen TV Kenya
3:23
Tanzania elections 2025 | Vurugu Dar es Salaam na Arusha maandamano makali
24 views
6 months ago
YouTube
International Swahili News Channel
3:41
Vurugu zashuka katika vituo mbalimbali vya kupigia kura nchini Tanzania #JamboMassawe #KituoChaWakenya | Radio Jambo
7.2K views
6 months ago
Facebook
Radio Jambo
2:05
Mkuu wa Majeshi ya Tanzania amelaani vitendo vya vurugu vinavyoendelea kote nchini na kuvitaja kuwa ni kinyume cha sheria. - Katika hotuba yake iliyorushwa na televisheni ya taifa, Jenerali Jacob John Mkunda amesema kuwa jeshi litashirikiana na vyombo vingine vya usalama kudhibiti hali ya usalama. - - - #tanzania #uchaguzi2025 #bbcswahili #maandamano #siasa #vijana #jwtz | BBC Swahili
993.9K views
6 months ago
Facebook
BBC Swahili
0:46
Vurugu zilizuka katika mpaka wa Tanzania na Kenya wa Namanga, baadhi ya vijana wakidai kuuawa kwa watu. Mabomu ya machozi yalirushwa kutawanya watu waliokusanyika kukabiliana na maafisa wa usalama kutoka upande wa Tanzania. Polisi nchini Kenya wamedai kuwa raia wawili wa taifa lao ni miongoni mwa waliouawa katika purukushani hizo. Maandamano yamekuwepo katika maeneo kadhaa Tanzania, kupinga uchaguzi mkuu wa nchini humo, uliofanyika Jumatano 29, 2025. | TRT Afrika Swahili
14.2K views
6 months ago
Facebook
TRT Afrika Swahili
3:21
Fujo na vurugu Tanzania: Mashirika ya haki yamshtumu Rais Samia Suluhu Yatanata jamii ya kimataifa kukomesha ukiukaji wa haki Mashirika yasema Suluhu anawakandamiza waandamanaji Karua: AU, SADC waingilie kati na kukomesha vifo #SemaNaCitizen | Citizen TV Kenya
17.6K views
6 months ago
Facebook
Citizen TV Kenya
3:30
Kafyu na vurugu Tanzania: Kafyu yatajwa kuanzia saa kumi na mbili jioni. Uchaguzi wakumbwa na machafuko nchini Tanzania. Watu kadhaa wajeruhiwa katika makabiliano na polisi. Waandamanaji walijitokeza kupinga uchaguzi Tanzania #CitizenNipashe | Citizen TV Kenya
72.1K views
6 months ago
Facebook
Citizen TV Kenya
3:19
Fujo na vurugu Tanzania Mashirika ya haki yamshtumu Rais Samia Suluhu Yataka jamii ya kimataifa kukomesha ukiukaji wa haki Mashirika yasema Suluhu anawakandamiza waandamanaji Karua: AU, SADC waingilie kati na kukomesha vifo #CitizenNipashe | Citizen TV Kenya
30.4K views
6 months ago
Facebook
Citizen TV Kenya
2:41
Watu watatu wamekamatwa nchini Tanzania kufuatia vurugu zilizozuka baada ya watu wasiojulikana kushambulia mabasi yaendayo haraka, almaarufu kama mwendokasi. Kufuatia vurugu hizo, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wapya katika taasisi zinazosimamia huduma za mabasi hayo yaendayo haraka jijini Dar es Salaam. #DiraYaDuniaTV | BBC Swahili
299.7K views
7 months ago
Facebook
BBC Swahili
0:45
Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Jenerali Jacob Mkunda, amelaani vurugu ambazo zimekuwa zikiendelea nchini humo tangu siku ya Jumatano, na kuwataja waandamanaji kuwa wahalifu, na kusisitiza kuwa ni lazima utawala wa sheria uzingatiwe. Jenerali Jacob Mkunda, alizungumza hayo alipokua akihutubia taifa kupitia Shirika la taifa la Utangazaji TBC. #tanzania #TBC #daressalaamtanzania #arusha #arusha #dodoma | RFI Kiswahili
63.5K views
6 months ago
Facebook
RFI Kiswahili
1:26
Wazee Wazee Wazee Wazee Nimewaita mara nne Tume ya vurugu Tanzania
903 views
3 weeks ago
TikTok
bongozozo_tanzania
2:57:28
🔴#Live: RAIS SAMIA APOKEA RIPOTI NZITO ya UCHUNGUZI wa VURUGU za UCHAGUZI wa OCT 29 2025 TANZANIA..
68.8K views
4 weeks ago
YouTube
Global TV Online
4:16
Vurugu Za Kariobangi: Rigathi Gachagua amelaumu serikali kwa vurumai zilizoshuhudiwa kanisani Kariobangi ambapo polisi walirusha vitoza machozi. Watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya wahuni kuwavamia kwa visu, panga na rungu. #NTVWikendi | NTV Kenya
23.3K views
5 months ago
Facebook
NTV Kenya
1:51
“Tuiombee Tanzania kumekuwa na vurugu na maafa” Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Leo, amewataka waumini wakatoliki kwote duniani kuiombea nchi ya Tanzania kufuatia “vurugu zilizotibuka baada ya uchaguzi mkuu kusababisha maafa mengi” - Vyanzo vya kidiplomasia vimeiambia BBC kuwa kuna ushahidi wa kuaminika unaoonyesha kuwa angalau watu 500 wamepoteza maisha, ingawa Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Thabit Kombo, amesisitiza kuwa takwimu hizo hazijathibitishwa rasmi na serikali. - Tanzania in
384.6K views
6 months ago
Facebook
BBC Swahili
0:25
Papa Leo XIV alizungumzia hali nchini Tanzania siku ya Jumapili 2 Novemba, wakati wa hotuba yake ya kila wiki ya Angelus katika Uwanja wa St. Peter's, akisema kumekuwa na vurugu na majeruhi wengi baada ya uchaguzi mkuu wa hivi karibuni. Alizitaka pande zote kuepuka vurugu na “kufanya majadiliano”. | TRT Afrika Swahili
179.8K views
6 months ago
Facebook
TRT Afrika Swahili
2:46
“…niliona kwamba matamshi haya yataleta vurugu na amani ya nchi kwani upo utaratibu mzuri wa kupata wagombea, wakupata viongozi…”-Shahidi wa Upande wa Jamhuri kwenye kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu Lissu. | ITV Tanzania
265K views
11 months ago
Facebook
ITV Tanzania
2:42
Mashirika kadhaa ya kutetea haki za binadamu nchini Tanzania, yametoa taarifa ya Pamoja kulaani mauaji ya kiholela ya raia, baadhi wakiwa majumbani kwao wakati wa vurugu za uchaguzi ambao upinzani unadai mamia ya watu wameuawa. Kituo cha sheria na haki za binadamu nchini humo, LHRC, kimesema kuna ushahidi wa polisi kutumia nguvu kupita kiasi kukabiliana na waandamanaji ambao hawakuwa na silaha. Rais Samia Suluhu Hassan, alishinda uchaguzi huo kwa zaidi ya asilimia 97. Vurugu zilizuka saa chache
206.9K views
6 months ago
Facebook
RFI Kiswahili
See more
More like this
Feedback