All
Search
Images
Videos
Shorts
Maps
News
More
Shopping
Flights
Travel
Notebook
Report an inappropriate content
Please select one of the options below.
Not Relevant
Offensive
Adult
Child Sexual Abuse
Ajari Ya
Ndege Korea SNS
Ujenzi Lands Mwaalimu Farm
Mbunge Malinyi District Mecktridis Mdaku
Mchomaji Maiti Zawachina
Rova Ngoma Gono
Mji Wa Mazimwi
Makamo Mwenyekiti Chipukizi Taifa
Tulia MB
Mkuu
Wa Mkoa Mwanza 2023
Msimamizi Wa Mipaka
Kigango Jimbo Kuu Tabora
Misomisondo Mziki Gani
Kikosi Cha Majeshi TZ
Mwenge Wa Uhuru Wilaya Ya Bahi 2025
Mkuu
Wa Majeshi Tanzania
Miso Misondo We DJ
Jenerali Mozika
Tofauti Kati Ya
Ngoma Na Ngomezi
Length
All
Short (less than 5 minutes)
Medium (5-20 minutes)
Long (more than 20 minutes)
Date
All
Past 24 hours
Past week
Past month
Past year
Resolution
All
Lower than 360p
360p or higher
480p or higher
720p or higher
1080p or higher
Source
All
Dailymotion
Vimeo
Metacafe
Hulu
VEVO
Myspace
MTV
CBS
Fox
CNN
MSN
Price
All
Free
Paid
Clear filters
SafeSearch:
Moderate
Strict
Moderate (default)
Off
Filter
Ajari Ya
Ndege Korea SNS
Ujenzi Lands Mwaalimu Farm
Mbunge Malinyi District Mecktridis Mdaku
Mchomaji Maiti Zawachina
Rova Ngoma Gono
Mji Wa Mazimwi
Makamo Mwenyekiti Chipukizi Taifa
Tulia MB
Mkuu
Wa Mkoa Mwanza 2023
Msimamizi Wa Mipaka
Kigango Jimbo Kuu Tabora
Misomisondo Mziki Gani
Kikosi Cha Majeshi TZ
Mwenge Wa Uhuru Wilaya Ya Bahi 2025
Mkuu
Wa Majeshi Tanzania
Miso Misondo We DJ
Jenerali Mozika
Tofauti Kati Ya
Ngoma Na Ngomezi
3:22
Waziri Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kuanza ziara ya siku nne mkoani Kilimanjaro kuanzia kesho Februari 18 hadi 21, 2026, ambapo atakagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya takribani Sh.bilioni 100.https://www.ippmedia.com/nipashe/habari/kitaifa/read/rc-babu-aonya-mabango-mwigulu-atua-kilimanjaro-2026-02-17-153033 | Nipashe
21.4K views
3 months ago
Facebook
Nipashe
0:19
Shamra shamra za mapokezi ya waziri mkuu katika wilaya ya pangani | Ally Abdallah
606 views
3 months ago
Facebook
Ally Abdallah
3:44
Mapokezi ya uteuzi wa Waziri Mkuu kwa Waheshimiwa Wabunge. #KaziIendelee | Gerson Msigwa
3.8K views
6 months ago
Facebook
Gerson Msigwa
2:06
Sikiliza Maneno mazito ya Waziri mkuu | DiameterPallet
4.8K views
5 months ago
Facebook
DiameterPallet
5:17
Mheshimiwa Waziri nenda kaisafishe Wilaya ya Muheza-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Lushoto-Tanzania 🗓️Februari 17, 2026 ———— ametoa maagizo hayo wakati wa kikao cha majumuisho ya ziara ya mkoa wa Tanga. | Ofisi ya Waziri Mkuu
22.8K views
3 months ago
Facebook
Ofisi ya Waziri Mkuu
1:11
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amekabidhiwa rasmi Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu Malimwa jijini Dodoma. 📍 Dodoma-Tanzania 🗓️ Novemba 17, 2025 | Ofisi ya Waziri Mkuu
11.9K views
6 months ago
Facebook
Ofisi ya Waziri Mkuu
3:19
Kauli ya Kwanza ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kwa watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu baada ya uapisho. 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Novemba 14, 2025 | Ofisi ya Waziri Mkuu
58.7K views
6 months ago
Facebook
Ofisi ya Waziri Mkuu
3:53
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha wanawasimamia Wakurugezi wa Halmashauri wakati wanapoandaa bajeti za Mwaka wa Fedha 2026/27 kuweka vifungu vya kugharamia maboresho ya miundombinu ya elimu, ili kujiaanda na mapokezi ya wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2028 ambapo kwa mujibu wa mtaala mpya watapokelewa wanafunzi waliohitimu darasa la sita na la saba. Prof. Shemdoe ametoa maelekezo
801 views
3 months ago
Facebook
Mwanahalisi
0:18
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akipiga penalti kabla ya kuanza kwa mechi ya Mpira wa Miguu wakati wa Bunge-Azania Bonanza 2026 linalofanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya John Merlin iliyopo jijini Dodoma leo Januari 31, 2026. Mechi hiyo ilihusisha Wabunge na Watumishi wa Ofisi ya Bunge ambao ni Mashabiki wa Timu za Simba na Yanga. | Ofisi ya Waziri Mkuu
1.7K views
3 months ago
Facebook
Ofisi ya Waziri Mkuu
0:50
Agizo la Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Waziri wa Ujenzi kuhusu Wakandarasi 📍Singida-Tanzania 🗓️Novemba 21, 2025 | Ofisi ya Waziri Mkuu
114.1K views
6 months ago
Facebook
Ofisi ya Waziri Mkuu
3:37
Hakikisheni magari ya kuchimba visima hayapaki-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Songwe-Tanzania 🗓️Desemba 17, 2025 | Ofisi ya Waziri Mkuu
4.3K views
5 months ago
Facebook
Ofisi ya Waziri Mkuu
6:18
WAZIRI MKUU: WATANZANIA TUNZENI AKIBA YA CHAKULA ▪️Ahimiza matumizi ya mbolea na mbegu za mazao ya muda mfupi WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania watunze akiba ya chakula walichonacho na waepuke matumizi yasiyofaa kutokana na hali ya kuchelewa kwa msimu wa mvua. Waziri Mkuu ametoa wito huo leo jioni (Jumapili, Desemba 14, 2025) wakati akizungumza na baadhi ya Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya, ofisini kwake Mlimwa, jijini Dodoma. Amewaeleza viongozi hao kutoka mikoa ya Dodoma n
40.5K views
5 months ago
Facebook
Ofisi ya Waziri Mkuu
Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la 5 la Januari 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz
3 months ago
jamiiforums.com
8:35
WAZIRI MKUU ANUSA WIZI MWINGINE MUHEZA, AAGIZA KAMATI YA UJENZI WAKAMATWE Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba ameagiza wajumbe wa Kamati mapokezi na Kamati za Ujenzi za mradi wa ujenzi wa ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza wakamatwe na kuhojiwa mara moja ili watoe taarifa juu ya upotevu wa vifaa vya mradi huo. “Kuna nondo 700, Marine boards 500 na matofali 2,000... hivi vifaa havijulikani viko wapi. Wahusika kila siku mnaripoti kazini, na mishahara mnalipwa wakati ujenzi umesimama na hakuna ha
8.4K views
3 months ago
Facebook
Habari Star TV Tanzania
6:58
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Mchemba aagiza kuchukuliwa hatua za kinidhamu watendaji wa TEMESA 📍Dar es Salaam-Tanzania 🗓️Desemba 24, 2025 | Ofisi ya Waziri Mkuu
2.8K views
4 months ago
Facebook
Ofisi ya Waziri Mkuu
3:29
Tuwatunze, tuwapenda na kuwajali wanafunzi wenye mahitaji maalum-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa 📍Njombe-Tanzania 🗓️Machi 22, 2025 ▪️Ukaguzi wa Shule ya Sekondari ya Mkoa ya Wasichana ya Njombe | Ofisi ya Waziri Mkuu
17.3K views
Mar 22, 2025
Facebook
Ofisi ya Waziri Mkuu
3:24
Watumishi wazembe hawatakuwa na nafasi-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Singida-Tanzania 🗓️Novemba 22, 2025 | Ofisi ya Waziri Mkuu
8.2K views
6 months ago
Facebook
Ofisi ya Waziri Mkuu
3:46
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza Watendaji Wakuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kufanya tathmini ya miradi yote ambayo malipo ya awali yameshafanyika na hatua za ujenzi zilizofikiwa katika miradi hiyo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Songwe-Tanzania 🗓️Desemba 17, 2025 | Ofisi ya Waziri Mkuu
55.2K views
5 months ago
Facebook
Ofisi ya Waziri Mkuu
2:15
#HABARI: WAZIRI Mkuu, Dk. Nwigulu Nchemba, ametoa maelekezo kwa watoa huduma za afya nchini, kutowasubirisha mapokezi wagonjwa wanaohitaji huduma za dharura, badala yake matibabu yaendelee na taratibu zingine zitafuata baadaye. Aidha, Dk. Mwigulu ameagiza kuwa, wanawake wajawazito wanaofikishwa hospitalini kwa dharura wakiwa hawana vifaa vya kutumia, ikiwemo mabeseni, wasisumbuliwe, badala yake hospitali ziwe na vitu hivyo kwa ajili yao. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo, Desemba 17, 2025 mkoani So
44.7K views
5 months ago
Facebook
Uhuru Publications Online
2:18
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa agizo kwa wizara za michezo na mashirikisho ya soka nchini (TFF na ZFA) kuangalia upya kanuni za mashindano ili kuwapa nafasi zaidi wachezaji wazawa, ikiwa ni mkakati wa kuandaa kikosi imara kuelekea mashindano ya AFCON 2027 ambapo Tanzania itakuwa mwenyeji. Akizungumza leo Januari 5, 2026, visiwani Unguja, Zanzibar, Waziri Mkuu amependekeza kuwa mashindano kama ya Kombe la Shirikisho na Ligi ya Muungano yatumie wachezaji wazawa pekee. Amesema
723 views
4 months ago
Facebook
Idawa Media
1:58
Mapokezi Ya Ofisi Za Wizara: Mawaziri waliohudumu katika baraza la hapo awali wawakabidhi warithi wao ofisi, waliobaki wanatarajiwa kufanya hiyo siku ya Ijumaa. #NTVJioni | NTV Kenya
19.6K views
Oct 27, 2022
Facebook
NTV Kenya
3:23
Wizara ya fedha hakikisheni hamtoi msamaha wala unafuu wa kodi katika bidhaa za nje ambazo zinapatikana ndani ya nchi. Toeni unafuu wa bidhaa zinazotoka nje ya nchi kama uzalishaji ndani ya nchi hatujitoshelezi-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba —————————— Amesema hayo leo Alhamisi (Februari 12, 2026) alipozindua kiwanda cha mabati cha Lodhia kilichopo Mkuranga mkoani Pwani. | Ofisi ya Waziri Mkuu
2.1K views
3 months ago
Facebook
Ofisi ya Waziri Mkuu
3:04
Mkuu wa Mkoa mstaafu Dkt. Ibrahim Msengi kwaniaba ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar Es Salaam ameeleza kusikitishwa na uvunjifu wa amani uliotokea siku na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akiwataka wale wanaodai haki kutekeleza wajibu wao kwanza, huku pia akimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuunda Tume ya uchunguzi kufuatia vurugu za Oktoba 29, 2025. Dkt. Msengi amebainisha hayo leo Jumatatu Novemba 24, 2025 Jijini Dar Es Salaam wakati wa Mapokezi ya Waziri Mkuu wa
22.2K views
5 months ago
Facebook
Arushazone
0:22
Heri ya Sikukuu ya Krismasi | Ofisi ya Waziri Mkuu
17.3K views
4 months ago
Facebook
Ofisi ya Waziri Mkuu
2:52
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatekeleza miradi inayotoa majawabu ya kero za Watanzania-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Lindi-Tanzania 🗓️Desemba 19, 2025 | Ofisi ya Waziri Mkuu
18.3K views
5 months ago
Facebook
Ofisi ya Waziri Mkuu
3:45
“Kila mmoja aheshimu matumizi bora ya ardhi, na wote wanaofanya kiburi tutashughulika nao maana wanatupeleka katika kuondoa upendo miongoni mwetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Ndungu (Same)-Kilimanjaro 🗓️Februari 18, 2026 —————— Amesema hayo alipozungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Ndungu, Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro. | Ofisi ya Waziri Mkuu
2.3K views
3 months ago
Facebook
Ofisi ya Waziri Mkuu
2:44
Watumishi wa Umma na Watanzania lazima tuwe tayari, lazima twende kwa gia ya kupandia mama-Waziri Mkuu Mteule Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Novemba 13, 2025 | Ofisi ya Waziri Mkuu
26.9K views
6 months ago
Facebook
Ofisi ya Waziri Mkuu
2:34:55
KIMEUMANA ZIARA YA WAZIRI MKUU MIKOANI YATAMALAKI KWA MAPOKEZI YA KIBABE A-Z HII HAPA
549 views
2 weeks ago
YouTube
Kaniki Tv
8:39
WAZIRI MKUU ANUSA WIZI MWINGINE MUHEZA, ZIMO NONDO 700, MARINE BOARDS 500 NA TOFALI 2,000.
235 views
3 months ago
YouTube
Daily News Digital
1:07
MAPOKEZI YA WAZIRI MKUU MH. MWIGULU NCHEMBA MJINI SUMBAWANGA - RUKWA
51 views
2 months ago
YouTube
Yusto Mwenda
See more
More like this
Feedback