All
Search
Images
Videos
Shorts
Maps
News
More
Shopping
Flights
Travel
Notebook
Report an inappropriate content
Please select one of the options below.
Not Relevant
Offensive
Adult
Child Sexual Abuse
Top suggestions for Rais WA Zanzibar Mhe Hussein Ali Mwinyi
Msafara WA
Raisi WA Zanzibar
Dk.hussein
Mwinyi
Ali
Hassan Mwinyi
Dr.
Hussein Mwinyi
Mapokezi Ya Dkt
Hussein Ali Mwinyi
Length
All
Short (less than 5 minutes)
Medium (5-20 minutes)
Long (more than 20 minutes)
Date
All
Past 24 hours
Past week
Past month
Past year
Resolution
All
Lower than 360p
360p or higher
480p or higher
720p or higher
1080p or higher
Source
All
Dailymotion
Vimeo
Metacafe
Hulu
VEVO
Myspace
MTV
CBS
Fox
CNN
MSN
Price
All
Free
Paid
Clear filters
SafeSearch:
Moderate
Strict
Moderate (default)
Off
Filter
Msafara WA
Raisi WA Zanzibar
Dk.hussein
Mwinyi
Ali
Hassan Mwinyi
Dr.
Hussein Mwinyi
Mapokezi Ya Dkt
Hussein Ali Mwinyi
2:33
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza tarehe 13 Disemba 2025, alipokuwa Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 25 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al Sumait, yaliyofanyika Chukwani, Mkoa wa Mjini Magharibi. | Ikulu habari Zanzibar
9.1K views
5 months ago
Facebook
Ikulu habari Zanzibar
1:34
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa uboreshaji wa mfumo wa umeme Zanzibar uliofanyika katika Viwanja vya Hoteli ya Verde, Mtoni, Mkoa wa Mjini Magharibi leo tarehe 1 Oktoba 2025. | Ikulu habari Zanzibar
446 views
7 months ago
Facebook
Ikulu habari Zanzibar
2:04
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa uboreshaji wa mfumo wa umeme Zanzibar uliofanyika katika Viwanja vya Hoteli ya Verde, Mtoni, Mkoa wa Mjini Magharibi leo tarehe 1 Oktoba 2025. | Ikulu habari Zanzibar
9.4K views
7 months ago
Facebook
Ikulu habari Zanzibar
1:27
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Ujumbe wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi kutoka Umoja wa Afrika (AUEOM), ukiongozwa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Botswana, Mhe. Mokgweetsi Masisi, ambaye pia ni Kiongozi wa Misheni hiyo. Mkutano huo umefanyika leo, tarehe 25 Oktoba 2025, Ikulu Zanzibar. | Ikulu habari Zanzibar
2.6K views
6 months ago
Facebook
Ikulu habari Zanzibar
1:37
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Mheshimiwa Anna Athanas Paul, kuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, jinsia Wazee, na Watoto. Hafla ya kuwaapisha Mawaziri wateule mbalimbali inaendelea muda huu Ikulu ya Zanzibar Leo Novemba 15, 2025. Endelea kufuatulia kwenye mitandao yetu ya kijamii @Zbc_Zanzibar kwa ajili ya kupata taarifa mbalimbali za hivi punde. #ZBCUpdates | ZBC Zanzibar
199 views
6 months ago
Facebook
ZBC Zanzibar
1:22
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Mheshimiwa Dkt. Saada Mkuya Salum, kuwa Waziri wa Ofisi ya Rais - Ikulu Hafla ya kuwaapisha Mawaziri wateule mbalimbali inaendelea muda huu Ikulu ya Zanzibar Leo Novemba 15, 2025. Endelea kufuatulia kwenye mitandao yetu ya kijamii @Zbc_Zanzibar kwa ajili ya kupata taarifa mbalimbali za hivi punde. #ZBCUpdates | ZBC Zanzibar
1.5K views
6 months ago
Facebook
ZBC Zanzibar
1:25
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Mheshimiwa Shaaban Ali Othman, kuwa Waziri wa Wizara ya Vijana Ajira na Uwezeshaji Hafla ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu wateule mbalimbali inaendelea muda huu Ikulu ya Zanzibar Leo Novemba 15, 2025. Endelea kufuatulia kwenye mitandao yetu ya kijamii @Zbc_Zanzibar kwa ajili ya kupata taarifa mbalimbali za hivi punde. #ZBCUpdates | ZBC Zanzibar
391 views
6 months ago
Facebook
ZBC Zanzibar
1:17
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Mheshimiwa Nadir Abdullatif Alwardy, kuwa Waziri wa Maji, Nishati na Madini. Hafla ya kuwaapisha Mawaziri wateule mbalimbali inaendelea muda huu Ikulu ya Zanzibar Leo Novemba 15, 2025. Endelea kufuatulia kwenye mitandao yetu ya kijamii @Zbc_Zanzibar kwa ajili ya kupata taarifa mbalimbali za hivi punde. #ZBCUpdates | ZBC Zanzibar
2.7K views
6 months ago
Facebook
ZBC Zanzibar
1:01
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amehutubia leo Novemba 10, 2025, wakati wa Uzinduzi wa Baraza la 11 la Wawakilishi Zanzibar, uliofanyika Chukwani, Mkoa wa Mjini Magharibi. Rais Mwinyi amesema kuwa serikali itaendelea kuwekeza na kuimarisha miundombinu ya shirika la utangazaji Zanzibar (ZBC)ili kuimarisha huduma bora za utangazaji. Rais Mwinyi ameeleza vipaumbele vya Serikali kwa kipindi kijacho, akisisitiza umuhimu wa mshikamano, uwajibikaji n
8.3K views
6 months ago
Facebook
ZBC Zanzibar
1:03
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza viongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na mamia ya wananchi katika maziko ya kaka yake, marehemu Abbas Ali Mwinyi, aliyefariki jana. Maziko hayo yamefanyika leo tarehe 26 Septemba 2025, Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini Unguja. Mapema, Dkt. Mwinyi alijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu, ndugu, jamaa na marafiki kwa Sala ya Ijumaa pamoja na Sal
11.4K views
7 months ago
Facebook
Ikulu habari Zanzibar
0:59
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya ajali ya barabarani iliyotokea jana, tarehe 7 Juni 2025 katika eneo la Mlima Iwambi, mkoani Mbeya na kusababisha vifo vya watu 28, wakiwemo wanawake, watoto, pamoja na kujeruhi wengine. Kwa niaba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Rais Dkt. Mwinyi ametoa salamu za pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu wote waliopoteza maisha katika ajali hiyo, sambamba n
107 views
11 months ago
Facebook
ZBC Zanzibar
2:56
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza Baraza jipya la Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar leo tarehe 13 Novemba 2025, katika hafla iliyofanyika Ikulu Zanzibar. Katika tangazo hilo, Dkt. Mwinyi pia ametangaza kuanzishwa kwa wizara mbili mpya ambazo ni Wizara ya Mawasiliano, Teknolojia ya Habari pamoja na Wizara ya Vijana, Ajira na Uwezeshaji, awali zilikuwa Wizara 18 sasa zitakuwa Wizara 20. Hatua hii inalenga kuimarisha utendaji
5.5K views
6 months ago
Facebook
ZBC Zanzibar
2:31
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, alipozungumza baada ya kuwawaapisha Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu aliowateua hivi karibuni katika Viwanja vya Ikulu, Zanzibar leo tarehe 22 Novemba 2025. | Ikulu habari Zanzibar
9.6K views
6 months ago
Facebook
Ikulu habari Zanzibar
1:57
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza leo tarehe 11 Agosti 2025, alipotembelea Miradi mbalimbali ikiwemo eneo litakalojengwa Ofisi za Serikali na jengo la Baraza la Wawakilishi Kisakasaka, pamoja na eneo linalojengwa uwanja mpya wa Afcon 2027 Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi | Ikulu habari Zanzibar
7.8K views
9 months ago
Facebook
Ikulu habari Zanzibar
8:09
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amezungumza na wananchi wa Mfenesini moja kwa moja kwa njia ya simu kusikiliza malalamiko ambayo hayajapata utatuzi kupitia mfumo wa Sema na Rais akiwa Ikulu Zanzibar. Rais Dk. Mwinyi amemwagiza Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Mhe. Khadija Khamis Rajab kuzishughulikia mara moja changamoto hizo. #KitengeUpdates | Maulid Kitenge
301.8K views
Jan 20, 2023
Facebook
Maulid Kitenge
1:45
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza leo tarehe 6 Januari, 2026 alipokutana na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.George Simbachawene, aliyefika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo ya kikazi. | Ikulu habari Zanzibar
4.3K views
4 months ago
Facebook
Ikulu habari Zanzibar
2:27
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi alipozungumza na waumini wa dini ya Kiislamu katika Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Ijumaa, Malindi, Mkoa wa Mjini Magharibi leo tarehe 7 Novemba 2025. | Ikulu habari Zanzibar
2.9K views
6 months ago
Facebook
Ikulu habari Zanzibar
1:39
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi alipozungumza na waumini wa dini ya Kiislamu baada ya Sala ya Ijumaa na dua maalum ya kuwaombea viongozi wakuu wa nchi, iliyofanyika katika Msikiti wa Shaafi, Mbuyu Mnene, Mkoa wa Mjini Magharibi leo tarehe 15 Agosti, 2025. | Ikulu habari Zanzibar
19.1K views
9 months ago
Facebook
Ikulu habari Zanzibar
2:32
RAIS MWINYI AMUAPISHA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameteuliwa kushika wadhifa huo kwa mara ya pili katika Awamu ya Nane ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Hafla ya uapisho imefanyika leo, tarehe 08 Novemba 2025, Ikulu Zanzibar, na imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo viongozi wa Serikali
5.5K views
6 months ago
Facebook
Ikulu habari Zanzibar
3:11
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na wafanyabiashara wa bidhaa za chakula leo tarehe 25 Septemba 2023, Ikulu Zanzibar . | Ikulu habari Zanzibar
3.5K views
Sep 25, 2023
Facebook
Ikulu habari Zanzibar
1:14
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa makabadhiano na ufunguzi nyumba za Wafanyakazi wa Hospitali ya Abdullah Mzee , Mkoa wa Kusini Pemba tarehe 01 Julai 2024. | Ikulu habari Zanzibar
588 views
Jul 1, 2024
Facebook
Ikulu habari Zanzibar
2:52
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akizungumza na Msanii wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva) Mbwana Yussuf Kilungi (Mboso) alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha. | Ikulu habari Zanzibar
18.5K views
Feb 5, 2023
Facebook
Ikulu habari Zanzibar
1:09
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipozungumza wakati wa hafla ya kumpongeza kwa mageuzi ya uchumi na fedha, pamoja na utoaji wa gawio kwa wawekezaji wa Zanzibar Sukuk na uzinduzi wa Skimu ya Hifadhi ya Jamii yenye kufuata misingi ya Kiislamu, hafla iliyofanyika katika Viwanja vya Ikulu leo tarehe 20 Oktoba 2025. | Ikulu habari Zanzibar
2.1K views
7 months ago
Facebook
Ikulu habari Zanzibar
0:37
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Zenji One leo Ofisini kwake Ikulu Zanzibar tarehe 23 Aprili 2025. Zenji One amempongeza Rais Dkt.Mwinyi kwa kutekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 kwa miradi mbalimbali ya maendeleo katika kila sekta, pia kwa kuwa Mgombea wa Urais wa Zanzibar 2025-2030 na kuahidi kuendelea kutangaza kazi nzuri anayoendelea kufanya na kushiriki katika hamasa za kampeni katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu Oktoba. #ZB
959 views
Apr 23, 2025
Facebook
ZBC Zanzibar
2:38
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza leo tarehe 21 Novemba 2025, mara baada ya kujumuika na Waumini katika Sala ya Ijumaa iliyosaliwa Masjid Rashidin, Dole Sokoni, Mkoa wa Mjini Magharibi. | Ikulu habari Zanzibar
8.5K views
6 months ago
Facebook
Ikulu habari Zanzibar
2:21
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza leo tarehe 06 Januari 2026 alipoizindua Ijitimai ya Kimataifa ya kila mwaka inayoandaliwa na Jumuiya ya Fissabilillah Tabligh Markaz, inayofanyika Fuoni Migombani, Mkoa wa Mjini Magharibi. | Ikulu habari Zanzibar
2.9K views
3 months ago
Facebook
Ikulu habari Zanzibar
3:04
#HABAI: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiduzi Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameongoza wananchi wakiwemo viongozi wa juu wa serikali na vyama vya siasa katika maziko ya kaka yake Abass Ali Hassan Mwinyi, yaliyofanyika Mangapwani mkoa wa kusini unguja. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania #Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania. | ITV Tanzania
89.2K views
7 months ago
Facebook
ITV Tanzania
5:59
Sema na Rais Mwinyi (SNR) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amezungumza na wananchi wa Mfenesini moja kwa moja kwa njia ya simu kusikiliza malalamiko ambayo hayajapata utatuzi kupitia mfumo wa Sema na Rais akiwa Ikulu Zanzibar. Rais Dk. Mwinyi amemwagiza Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Mhe. Khadija Khamis Rajab kuzishughulikia mara moja changamoto hizo. Part:03 | Ikulu habari Zanzibar
133.9K views
Jan 21, 2023
Facebook
Ikulu habari Zanzibar
1:30
23 Disemba 2025 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa shukrani zake za dhati kwa wananchi wa Zanzibar, Watanzania kwa ujumla, pamoja na viongozi, taasisi na watu mbalimbali waliopata nafasi ya kumtumia salamu za pongezi na heri ya siku yake ya kuzaliwa. Amesema salamu hizo zimemgusa na kumpa faraja katika kuendelea kutekeleza jukumu la kulitumikia Taifa kwa uadilifu, busara na dhamira ya dhati ya kuwaletea wananchi maendeleo na ustawi. Aidha,
230.5K views
4 months ago
Facebook
Ikulu habari Zanzibar
1:08
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Dodoma leo tarehe 05 Novemba, 2025. Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan. | Ikulu habari Zanzibar
24.2K views
6 months ago
Facebook
Ikulu habari Zanzibar
See more
More like this
Feedback