All
Search
Images
Videos
Shorts
Maps
News
More
Shopping
Flights
Travel
Notebook
Report an inappropriate content
Please select one of the options below.
Not Relevant
Offensive
Adult
Child Sexual Abuse
Rais Samia
Live Leo
Samia Suluhu Leo
Samia Suluhu Hassan
Speech in the Us
Rais
Live Leo
Samia Suluhu Hassan
Daughter
Mama Samia Suluhu Hassan
CV
Mama
Samia Suluhu Hassan
Mama Samia
Live Leo
Samia Suluhu Hassan
Biography
Samia Leo
Tundu Lissu Live
President of Tanzania Asaption
BBC Swahili
Leo
Tundu Lissu Speech
Who Is the President of Tanzania for Now
President of Tanzania
U Tube Hotuba Ya
Rais Bungeni Leo
Kuapishwa Kwa Dkt
Samia
Bungeni
ITV
Leo
Tanzania
Leo
Rais
Wa Tanzania
Maandamano TZ
First President of Tanzania
Taarifa Com
Tanzania Ya
Leo
Mama Samia
Live
Maandamano Tanzania
Suluhu
Samia Suluhu Hassan
Kenya Leo
Length
All
Short (less than 5 minutes)
Medium (5-20 minutes)
Long (more than 20 minutes)
Date
All
Past 24 hours
Past week
Past month
Past year
Resolution
All
Lower than 360p
360p or higher
480p or higher
720p or higher
1080p or higher
Source
All
Dailymotion
Vimeo
Metacafe
Hulu
VEVO
Myspace
MTV
CBS
Fox
CNN
MSN
Price
All
Free
Paid
Clear filters
SafeSearch:
Moderate
Strict
Moderate (default)
Off
Filter
Rais Samia
Live Leo
Samia Suluhu Leo
Samia Suluhu Hassan
Speech in the Us
Rais
Live Leo
Samia Suluhu Hassan
Daughter
Mama Samia Suluhu Hassan
CV
Mama
Samia Suluhu Hassan
Mama Samia
Live Leo
Samia Suluhu Hassan
Biography
Samia Leo
Tundu Lissu Live
President of Tanzania Asaption
BBC Swahili
Leo
Tundu Lissu Speech
Who Is the President of Tanzania for Now
President of Tanzania
U Tube Hotuba Ya
Rais Bungeni Leo
Kuapishwa Kwa Dkt
Samia
Bungeni
ITV
Leo
Tanzania
Leo
Rais
Wa Tanzania
Maandamano TZ
First President of Tanzania
Taarifa Com
Tanzania Ya
Leo
Mama Samia
Live
Maandamano Tanzania
Suluhu
Samia Suluhu Hassan
Kenya Leo
Samia Suluhu
Live 28 4 2022
Samia Suluhu
Live
Samia
News
Hotuba Ya
Rais Leo
Hotuba Ya
Rais Samia Suluhu Hassan Leo
Tanzania's President
Samia Suluhu Hassan
Bungeni Leo
Live 22 4 2021
Sama Suluhu Hassan
Lve Speech
Kutoka Bungeni
Leo
Taarifa Ya Habari ITV Leo
Online 11 2 2021
Raisi
Samia Suluhu Hassan
Tanzania ITV Television
Samia Suluhu
Husband
Samia Hassan's
Speech in Glasgow
Ifahamu historia kumhusu Rais mpya wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan
Mar 20, 2021
tuko.co.ke
2:08
DODOMA; RAIS wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 14, 2025 amefungua Bunge la 13 mjini Dodoma huku akiwasihi Watanzania kuwaombea wapumzike mahali pema peponi wananchi waliofariki kwenye matukio ya vurugu yaliyotokana na Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 29, 2025. - #HabarileoUPDATES | HabariLeo
2.2K views
6 months ago
Facebook
HabariLeo
2:14
#VIDEO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema vyama vya upinzani havikuzuiliwa kushiriki uchaguzi wa Oktoba 29 kwa sababu vilifahamu kuwa visingeshinda. Dkt. Samia ametoa kauli hiyo leo Disemba 2 wakati akizungumza na wazee wa jiji la Dar Es Salaaam. #EastAfricaTV | East Africa TV
14.2K views
5 months ago
Facebook
East Africa TV
1:02
#VIDEO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Watanzania wanatamani kuona mahakama zinatoa haki akibainisha kuwa kuna watu wanafungwa kwa makosa ambayo siyo yao. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) uliofanyika Makao Makuu ya Mahakama Mkoani Dodoma leo Januari 13, 2026. #EastAfricaTV | East Africa TV
48.8K views
4 months ago
Facebook
East Africa TV
1:44
#VIDEO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kutojivika jukumu la kuiongoza nchi kwa sababu kuna misingi ya katiba ambayo ndiyo inatumika kuwaongoza Watanzania. Dkt. Samia ametoa kauli hiyo leo Disemba 2 wakati akizungumza na wazee wa jiji la Dar Es Salaaam. #EastAfricaTV | East Africa TV
102.6K views
5 months ago
Facebook
East Africa TV
2:12
#VIDEO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema hakuna taifa ambalo linaweza kuendelea bila haki duniani akisisitiza kuwa haki ni lazima isimamiwe vile inavyotakiwa . Ameongeza kuwa uwepo wa Mahakama Huru ni jambo lisiloepukika kwa maendeleo. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) uliofanyika Makao Makuu ya Mahakama Mkoani Dodoma leo Januari 13, 2026. #EastAfrica
36K views
4 months ago
Facebook
East Africa TV
2:06
#VIDEO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema huu ndiyo wakati wa Watanzania kushikamana na kujenga nchi kwani taifa hujengwa na wananchi wake pekee. Dkt. Samia ametoa kauli hiyo leo Disemba 2 wakati akizungumza na wazee wa jiji la Dar Es Salaaam. #EastAfricaTV | East Africa TV
4.3K views
5 months ago
Facebook
East Africa TV
1:00
#VIDEO Rais Dkt. @Samia_Suluhu_Hassan akiwasili kukagua daraja la Kigongo - Busisi mkoani Mwanza leo Juni 14, 2023. Tupo LIVE muda huu kupitia youtube ya #EastAfricaTV #ZiaraYaRaisSamiaMwanza #RaisSamia #DarajaLaMagufuli #Ikulu #Mwanza #Busisi | East Africa TV
2.7K views
Jun 14, 2023
Facebook
East Africa TV
2:47
DODOMA; RAIS wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dk Samia Suluhu Hassan, leo Februari 24, 2026, amezindua Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo mkoani Dodoma. - #HabarileoUPDATES | HabariLeo
12.1K views
2 months ago
Facebook
HabariLeo
0:46
DAR ES SALAAM; RAIS wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 18, 2025 Ikulu, Chamwino jijini Dodoma ameapisha mawaziri aliowateua na kuwaeleza kuwa utu uanze na wao wenyewe. - #HabarileoUPDATES | HabariLeo
4.9K views
6 months ago
Facebook
HabariLeo
0:41
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wakati akiwaapisha Mawaziri wapya leo jijini Dodoma, amesema machafuko yaliyotokea nchini mwake wakati wa uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba, na kusababisha maafa ya watu waliopigwa risasi na maafisa wa usalama, yametia doa nchi hiyo Kimataifa, na huenda ikapata changamoto ya kupata mikopo kutoka kwenye taasisi za Kimataifa. #tanzania #SamiaSuluhuHassan #dodoma #election #tz #october | RFI Kiswahili
4K views
6 months ago
Facebook
RFI Kiswahili
1:27
#VIDEO Rais Samia Suluhu Hassan akiongea wakati wa uapisho wa mawaziri na manaibu waziri leo hii Ikulu Chamwino, jijini Dodoma amesema kuwa anataka kuona matokeo ya miradi itakayosimamiwa na mawaziri hao na sio kwenye ofisi za mawaziri pekee bali ni kwa wananchi. #EastAfricaTV | East Africa TV
216.9K views
6 months ago
Facebook
East Africa TV
0:36
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemteua aliyekua waziri wa fedha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu. Bunge litamthibitisha kisha Rais kumuapisha. Nchemba amewahi kuhudumu katika wizara mbalimbali, alikua Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Waziri wa Katiba na Sheria na Naibu Waziri wa Fedha #bbcswahili #SIASA #tanzania | BBC Swahili
320.7K views
6 months ago
Facebook
BBC Swahili
0:28
Baada ya kuapishwa leo, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa hotuba iliyosisitiza umoja wa kitaifa na dhamira ya kuendeleza maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa raia wote. Samia aliahidi "kulinda na kutetea katiba na umoja wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania." Hafla ya kuapishwa kwake ilifanyika mjini Dodoma chini ya ulinzi mkali. #DWHabari | DW Kiswahili
400.5K views
6 months ago
Facebook
DW Kiswahili
1:24
DAR ES SALAAM; RAIS wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan, leo Februari 9, 2026, Ikulu Dar es Salaam, amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, akiwemo Meja Jenerali Marco Gaguti aliyeteuliwa kuwa Balozi. - #HabarileoUPDATES | HabariLeo
7.3K views
3 months ago
Facebook
HabariLeo
1:14
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano na Wazee wa Dar es Salaam leo Desemba 02, 2025. #KitengeUpdates | Maulid Kitenge
192.1K views
5 months ago
Facebook
Maulid Kitenge
0:49
DAR ES SALAAM; RAIS wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan, leo Februari 9, 2026, Ikulu Dar es Salaam, amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, akiwemo Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Balozi Waziri Salum, ambaye awali alikuwa Katibu wa Rais. - #HabarileoUPDATES | HabariLeo
4.2K views
3 months ago
Facebook
HabariLeo
1:39
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano na Wazee wa Dar es Salaam leo Desemba 02, 2025. #KitengeUpdates | Maulid Kitenge
63.5K views
5 months ago
Facebook
Maulid Kitenge
1:58
DAR ES SALAAM; RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan leo Desemba 2, 2025, amezungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuhusu masuala mbalimbali yaliyojitokeza baada ya vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025.. - #HabarileoUPDATES | HabariLeo
1K views
5 months ago
Facebook
HabariLeo
1:53
DAR ES SALAAM; RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan leo Desemba 2, 2025, amezungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuhusu masuala mbalimbali yaliyojitokeza baada ya vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 na kueleza kuwa vijana waliimbishwa wimbo wasioujua. - #HabarileoUPDATES | HabariLeo
1.9K views
5 months ago
Facebook
HabariLeo
0:51
DODOMA: Rais Samia Suluhu Hassan amesema ameamua kuanza na uchunguzi wa matukio ya vurugu wakati wa uchaguzi na kwamba ataunda tume ya Maridhiano mara tuu uchunguzi huo utakapokamika. - Ametoa miezi mitatu ya awali kwa Tume hiyo ya watu Nane inayoongozwa na Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed Chande Othman kufanya uchunguzi wa kina juu ya vurugu za Oktoba 29, 2025. - Una maoni tuandikie #HabarileoUPDATES | HabariLeo
6.3K views
6 months ago
Facebook
HabariLeo
1:05
DAR ES SALAAM; RAIS wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan, leo Februari 9, 2026, Ikulu Dar es Salaam, amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, akiwemo Dk James Mataragio aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia masuala ya gesi na mafuta asilia. - #HabarileoUPDATES | HabariLeo
8.2K views
3 months ago
Facebook
HabariLeo
4:25
#HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa jukumu alilopewa Waziri Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ni zito. Akizungumza leo Novemba 14 mara baada ya kumwapisha Dkt. Nchemba kuwa Waziri Mkuu, Rais samia amesema vishawishi ni vingi lakini ana Imani naye kutokana na ahadi aliyoitoa jana mara baada ya kuteuliwa kuteuliwa na kuidhinishwa rasmi na Bunge kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mbele ya
61.4K views
6 months ago
Facebook
East Africa TV
1:20
DAR ES SALAAM; RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan amesema suala la nani atakuwa kiongozi wa nchi anayejua ni Mwenyezi Mungu pekee, hivyo kuelekea safari ya mwaka 2030 isiwe sababu ya kuharibu nchi. - Ametoa kauli hiyo Dar es Salaam leo Desemba 2, 2025, alipokuwa akizungumza na wazee wa Dar es Salaam kuhusu masuala mbalimbali yaliyojitokeza baada ya vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. - #HabarileoUPDATES | HabariLeo
3.7K views
5 months ago
Facebook
HabariLeo
5:02
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hatua za kiusalama zilizochukuliwa kuzuia vurugu za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 zilikuwa sahihi na ziliendana na ukubwa wa tukio, hasa ikizingatiwa kuwepo kwa viashiria vya jaribio la kupindua dola. Ameongeza kuwa vurugu hizo zilikuwa na nia ovu na ziliwahusisha vijana wengi waliofuata mkumbo bila kuelewa madhara ya vitendo walivyokuwa wakifanya. Amesema kwa msingi huo, Serikali ililazimika kuchukua hatua za haraka ili kulinda usalama wa nchi na raia wake, k
16.7K views
5 months ago
Facebook
TBConline
2:32
Rais Samia Suluhu Hassan amemuapisha Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla iliyofanyika leo, Novemba 14, 2025, Chamwino, jijini Dodoma. Dkt. Mwigulu aliteuliwa na Rais Samia kushika wadhifa huo na pendekezo lake kuwasilishwa bungeni jana Novemba 13,2025 ambapo wabunge walimuidhinisha kwa kura. | TBConline
33.7K views
6 months ago
Facebook
TBConline
1:43
Tanzanian President Samia Suluhu Hassan defended her government's use of force used against civilians on Tuesday. It is believed hundreds of civilians died due to violence during protests after the country's disputed October election, but the president said the force used was "proportional" to the threat. CNN's Larry Madowo reports, following a CNN investigation that found police fired at unarmed protesters. Read more: https://cnn.it/44IcIKQ | CNN International
129.2K views
5 months ago
Facebook
CNN International
0:32
Rais Samia Suluhu Hassan, ametangaza Baraza la Mawaziri ambapo kwa upande wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, itaongozwa na Profesa Balamagamba Kabudi, akisaidiwa na manaibu mawaziri wawili ambao ni Hamis Mwinjuma (MwanaFA) na Paul Makonda. Rais Samia ametangaza baraza hilo leo Jumatatu Novemba 17. #RaisSamia #Rais #Samia | AzamSports
28.6K views
6 months ago
Facebook
AzamSports
3:26
DAR ES SALAAM. RAIS Samia Suluhu Hassan ameeleza namna alivyofanya kazi kubwa kuzungumza na baadhi ya viongozi wa upinzani kwa maslahi ya nchi. - Ametoa kauli hiyo leo alipokuwa akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam kuhusu masuala mbalimbali yaliyojitokeza baada ya vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. - #HabarileoUPDATES | HabariLeo
11.9K views
5 months ago
Facebook
HabariLeo
Samia Suluhu Hassan atangazwa mshindi wa urais Tanzania kwa 98% Jeshi la Israel lasema miili iliyorejeshwa Ijumaa sio ya mateka Na Picha mpya za satelaiti El Fasher zaashiria mauaji makubwa Sudan. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari | DW Kiswahili
11K views
6 months ago
Facebook
DW Kiswahili
See more
More like this
Feedback