All
Search
Images
Videos
Shorts
Maps
News
More
Shopping
Flights
Travel
Notebook
Report an inappropriate content
Please select one of the options below.
Not Relevant
Offensive
Adult
Child Sexual Abuse
John Mnyika
Achievements
John Mnyika
Speech
John Mnyika
Quotes
John Mnyika
Interview
John Mnyika
Family
John Mnyika
Politics
John Mnyika
Biography
John Mnyika
Education
John Mnyika
News
John
Mnynka Tanzania
Freeman Aikaeli Mbowa
Maandamano Tarehe 29
John
Heche Asema
Jakaya Kikwete
Wananchi Forum
ITV Leo
Chadema Party
Player 456 S Team
Tundu Lisu Bungeni
Mama Samia Live
Raila Odinga
Nelson Mandela
Mwigulu Nchemba
Jun Panares Highlihgts
Job Ndugai Alisema Anamjua Mke Wa Yesu
Video Za Maandamano Tanzania
Kuminga Blocks Sharpe
Mange Kimambi
Morgan Tsvangirai
Wizara
Length
All
Short (less than 5 minutes)
Medium (5-20 minutes)
Long (more than 20 minutes)
Date
All
Past 24 hours
Past week
Past month
Past year
Resolution
All
Lower than 360p
360p or higher
480p or higher
720p or higher
1080p or higher
Source
All
Dailymotion
Vimeo
Metacafe
Hulu
VEVO
Myspace
MTV
CBS
Fox
CNN
MSN
Price
All
Free
Paid
Clear filters
SafeSearch:
Moderate
Strict
Moderate (default)
Off
Filter
John Mnyika
Achievements
John Mnyika
Speech
John Mnyika
Quotes
John Mnyika
Interview
John Mnyika
Family
John Mnyika
Politics
John Mnyika
Biography
John Mnyika
Education
John Mnyika
News
John
Mnynka Tanzania
Freeman Aikaeli Mbowa
Maandamano Tarehe 29
John
Heche Asema
Jakaya Kikwete
Wananchi Forum
ITV Leo
Chadema Party
Player 456 S Team
Tundu Lisu Bungeni
Mama Samia Live
Raila Odinga
Nelson Mandela
Mwigulu Nchemba
Jun Panares Highlihgts
Job Ndugai Alisema Anamjua Mke Wa Yesu
Video Za Maandamano Tanzania
Kuminga Blocks Sharpe
Mange Kimambi
Morgan Tsvangirai
Wizara
Chadema in Blood
Bungeni
Chadema Song
Mchungaji Mashimo
Paul Makonda
Chadema 2020
RC Makonda
Chadema Media
11:29
Dakika 11 za Katibu Mkuu wa Chadema Taifa Mhe. John Mnyika, Msikilize👇 | John Nguti Wa Chadema
3.2K views
5 months ago
Facebook
John Nguti Wa Chadema
4:37
JOHN Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, amesema kuwa amedokezwa na mmoja wa maofisa wa Jeshi la Polisi kuwa John Heche, Makamu mwenyekiti wa Chama hicho yupo Dodoma. Jana tumepata uhakika kwamba yupo Dodoma, amefikiwa na mmoja wa wanafamilia ...Leo nimepata taarifa kwamba mchana huu ofisa wa idara ya uhamiaji amefika pale kituo cha polisi cha Dodoma kwa ajili ya mahojiano " Mnyika, ametoa wito kwa jeshi la Polisi kutoa taarifa kwa umma alio Heche, na hali yake "hiv
16.8K views
6 months ago
Facebook
Gilly Bonny Tv
18:58
Katibu Mkuu John Mnyika akielezea mdhira yaliyomkuta jana. | Chadema in Blood
86.4K views
Apr 25, 2025
Facebook
Chadema in Blood
7:19
Katibu Mkuu wa CHADEMA Mhe. John Mnyika | Hilda Newton Chadema
9.6K views
3 months ago
Facebook
Hilda Newton Chadema
1:21
#VIDEO Kaimu katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akizungumza na Vijana wa CHADEMA amesema Mahakama kuu imetupilia mbali maombi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu akiiomba Mahakama ifafanue maamuzi ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuhusu Mashahidi wa Siri. "Leo hii Mahakama imetupilia Mbali maombi aliyokuwa ameyaomba Mwenyekiti wetu kuhusu mapitio ya Uamuzi wa Mashahidi Kufichwa" @JJ mnyika. | Sasa Live
130.5K views
9 months ago
Facebook
Sasa Live
1:02
Katibu Mkuu Mhe. John Mnyika akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya Kesi ya uhaini kuahirishwa leo. | Hilda Newton Chadema
7.1K views
8 months ago
Facebook
Hilda Newton Chadema
5:20
Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akizungumza na waandishi wa habari baada ya Mahakama Kuu hana, 28 Novemba 2025, kutupilia mbali Shauri Na. 25480/2025 lililokuwa linamkabili yeye na viongozi wengine wa Chama akiwemo John Heche, Makamu Mwenyekiti Bara. | Habari 24
6.4K views
5 months ago
Facebook
Habari 24
5:16
Katibu Mkuu CHADEMA John Mnyika. | Habari 24
32.4K views
5 months ago
Facebook
Habari 24
0:42
John Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA) amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kuelezea alichobaini wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilichohusisha kumpitisha Mgombea Urais na Mgombea Mwenza akidai kulikuwa na ukiukwaji wa Katiba ya Chama hicho Amesema hayo wakati akifungua mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa #BAWACHA na #BAVICHA kutoka Kanda ya Kusini, yanayofanyika Masasi Soma https://jamii.app/MnyikaMsajiliCCM #JamiiForums #Kuelekea2025 #Uchagu
115K views
Mar 25, 2025
Facebook
JamiiForums
2:54
Mnyika: 'Sihusiki na mauaji ya Ali Kibao, Joseph Yona anatumika na watawala’ Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika ameyasema haya leo Januari 17, 2026, akijibu swali aliloulizwa kuhusu tuhuma zilizoibuliwa hivi karibuni na mtu anayetambulika kama Joseph Yona kupitia vyombo vya habari. Madai yaliyotolewa na Joseph Yona ni kuwa John Mnyika ndiye aliyemuua mwanachama mwandamizi wa CHADEMA, Ali Kibao na kuwa CHADEMA waliwahi kumteka hadi yeye, madai ambayo yamepingwa vikali na Mnyika. Tazama Clip yote
113.7K views
4 months ago
Facebook
Nijuze
1:28
John Mnyika Katibu Mkuu, wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema kuwa kila Mtanzania aliyeguswa maisha Mzee Mtei hata kama sio Chadema kila mmoja afanya kwa nafasi yake kwa kuyaenzi maono ya Mzee Mtei Tanzania iwe na Katiba mpya 'Wakati umefika sasa wa kuyaenzi maono ya Mzee Mtei Tanzania tukamilisha mchakato wa kuandika katiba mpya ya nchi yetu pili Mzee Mtei alikuwa na maono ya Tanzania kuongozwa na chama mbadala" | Mwanahalisi
3.2K views
3 months ago
Facebook
Mwanahalisi
0:30
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe. John Heche pamoja na Katibu Mkuu wa CHADEMA taifa Mhe. John Mnyika wakiwa wameongozana na viongozi mbalimbali wa CHADEMA ngazi mbalimbali wameshiriki ibada ya kuaga mwili wa Askofu Mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt. Steven Munga, hii leo katika Usharika wa Kunduchi Beach. #PumzikaKwaAmaniAskofuMunga | Chadema Breaking News
147.5K views
8 months ago
Facebook
Chadema Breaking News
1:18
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe. John Heche pamoja na Katibu Mkuu wa CHADEMA taifa Mhe. John Mnyika wakiwa wameongozana na viongozi mbalimbali wa CHADEMA ngazi mbalimbali wameshiriki ibada ya kuaga mwili wa Askofu Mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt. Steven Munga, hii leo katika Usharika wa Kunduchi Beach. #PumzikaKwaAmaniAskofuMunga | Joel Msuya
53.5K views
8 months ago
Facebook
Joel Msuya
0:28
Kaimu Katibu Mkuu John Mnyika Muda Singida Mjini #NoReformsNoElection | Chadema in Blood
24.8K views
11 months ago
Facebook
Chadema in Blood
2:52
#HABARI Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amethibitisha kuwa Makamu mwenyekiti wa Chama hicho John Heche, amekamatwa na polisi katika geti la kuingilia katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Oktoba 22, 2025. Katika taarifa ya awali, Mnyika amesema Heche, amepelekwa katika Kituo Cha polisi Cha Central na kuongeza kuwa amesikitishwa na kitendo hicho. Ametoa rai kwa jeshi la polisi kutoa sababu ya kukamatwa kwake akilihusianisha tukio hilo na tuk
26.1K views
7 months ago
Facebook
East Africa Radio
0:56
No reform no election ni msimamo wa umma - John Mnyika akizungumza leo kupitia baraza kigitali lililozinduliwa na CHADEMA leo | Habari 24
41.4K views
8 months ago
Facebook
Habari 24
John Mnyika: Kwa ukubwa wa mapito tuliyopitia Aprili 28-29 Kamati kuu itafanya kikao maalum
2 views
1 month ago
jamiiforums.com
2:35
#bahariaNEWS- Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amesema wanaimani tarehe 15,2025 mahakama itatoa maamuzi wa kumuachia huru kiongozi wao, Tundu Lissu na kufuta mashtaka yanamkabili. #bahariaUpdates | Baharia TV
207.4K views
8 months ago
Facebook
Baharia TV
1:00
John Mnyika makamu mwenyekiti wetu John HECHE yupo Dodoma Polisi tokeni mseme kweli | Chadema Breaking News
26.6K views
6 months ago
Facebook
Chadema Breaking News
2:11
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema kesi ya mgawanyo wa mali iliyofunguliwa dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu ililenga kukamwisha mapambano ya 'No Reforms, No Election.’ | Swahili Times
20.1K views
5 months ago
Facebook
Swahili Times
2:08
Katibu Mkuu wa CHADEMA taifa Mhe. John Mnyika ametoa maagizo ya kujaza mara moja nafasi za viongozi wachache waliosaliti wananchi na kujiengua ndani ya chama. Hakuna kuchelewesha kabisa. Nafasi za baadhi ya watu wachache waliosaliti zinajazwa mara moja viongozi wapya waaminifu wanaendelea kusukuma gurudumu la #NoReformsNoElection. | Joel Msuya
16.7K views
May 16, 2025
Facebook
Joel Msuya
2:17
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Mnyika akizungumzia tukio la kukamatwa kwa makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho John Heche, leo Asubuhi Mahakamani alipofika kwa ajili ha kusikiliza shauri la uhaini linalomkabili Tundu Lissu. | Mwanahalisi
18K views
7 months ago
Facebook
Mwanahalisi
2:20
Katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John mnyika akizungumza kuhusu sakata la kuzuiliwa kwa makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho John Heche kwenye mpaka wa Sirari alipotaka kwenda nchini Kenya kwenye Mazishi ya Raila Odinga. | Mwanahalisi
10.9K views
7 months ago
Facebook
Mwanahalisi
0:23
Katika Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika amesema kuwa watu wapo tayari hata uchaguzi ukisogezwa mbele ili mradi mabadiliko yafanyike. Mnyika amesema hayo leo Mei 09 Bukoba mjini wakati akizungumza na wakazi wa eneo hilo ikiwa ni Sehemu ya Oparesheni ya Kampeni ya No Reforms no Election. "Watu wapo tayari hata Uchaguzi usogezwe Mbele ili mabadiliko yafanyike" Alisema John Mnyika katibu Mkuu wa CHADEMA Taifa. @jjmnyika @chadematzofficial #ManaraTvUpdate | Manara Tv
39.1K views
May 9, 2025
Facebook
Manara Tv
6:15
Mh. John Mnyika akizungumza leo share zaidi. | Chadema in Blood
34.6K views
Jul 2, 2020
Facebook
Chadema in Blood
5:42
#UPDATES Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika ametaja sababu zilizofanya wafuasi wa chama hicho kugoma kuingia kwenye chumba cha Mahakama kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wao wa Taifa Tundu Lissu. Mnyika ametaja sababu mbalimbali zikiwemo wakidai uwepo wa watu ambao si wanachama wa Chadema ndani ya ukumbi wa Mahakama, na kitendo cha polisi kuwazuia wanachama halisi kuingia ndani. Tukio hilo limetokea mapema leo asubuhi kabla ya kesi hiyo kupangwa kuendelea majira ya saa tano na da
6.4K views
8 months ago
Facebook
East Africa TV
1:47
"Aliyekuwa Rais wakati huo".... zingatia kabisa hayo maneno ya Katibu Mkuu John Mnyika Hapo anamaanisha Samia | John Pambalu
7.8K views
5 months ago
Facebook
John Pambalu
13:55
Makamu Mwenyekiti wa Chama Mhe. John Heche Katibu Mkuu Mhe. John Mnyika na Naibu Katibu Mkuu Mhe. @amanigolugwa pamoja na viongozi wengine wamakutana na wanachama na viongozi waliofika Arusha katika mazishi ya Muasisi wa Chama Edwin Mtei. | George Salum
30.6K views
3 months ago
Facebook
George Salum
5:29
John Mnyika afunguka kuhusu Kesi inayoikabili CHADEMA, "Said Issa Mohamed ameidanganya Mahakama" | Habari 24
28.8K views
7 months ago
Facebook
Habari 24
3:22
Msikilize Mh. John Mnyika | Chadema in Blood
49.1K views
7 months ago
Facebook
Chadema in Blood
See more
More like this
Feedback