Kigoma. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Kigoma imefuta kesi ya uchaguzi ya kupinga ubunge wa Levocatus Chipando maarufu Baba Levo baada ya kuamua kuwa ushahidi uliowasilishwa hauwalazimishi ...
Kigoma. Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na mwanasiasa maarufu, Dk Willbrod Slaa, wamefungua kesi ya kikatiba dhidi ya Waziri wa ...
Kigoma. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Kigoma, leo Alhamisi, Julai 16, 2026, itatoa uamuzi wa awali katika kesi ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Mjini, iwapo walalamikiwa wana kesi ya kujibu ama la, ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Baada ...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari,akizungumza katika mafunzo ya tatu ua Mawakili wa Serikali kutoka Wizara,Idara za Serikali zinazojitegemea,Wakala za Serikali na Mamlaka za Serikali za Mitaa ...
Azam imemrudisha winga Kipre Junior baada ya kumnunua kutoka MC Alger ya Algeri aliyoitumikia kwa misimu miwili iliyopita. Klabu hiyo imethibitisha usajili wa Kipre Junior mwenye umri wa miaka 26 ...
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewateua majaji wanne wa Mahakama Kuu Zanzibar akiwemo Katibu wa Baraza la Wawakilishi, Raya Issa Msellem. Pia amemteua Dk Mahadhi Juma Maalim kuwa ...
Kitendo cha Hispania kuingia hatua ya fainali ya Kombe la Dunia mwaka huu, kimeifanya klabu ya Barcelona kuvunja rekodi yake ya mwaka 2010. Rekodi hiyo ni kuwa klabu ambayo imekuwa na uwakilishi ...
Kitambulisho cha Taifa kinazidi kuwa nyenzo muhimu katika maisha ya kila siku ya Mtanzania. Leo hii, karibu kila huduma muhimu ya Serikali na sekta binafsi inaanza na utambuzi wa mtu kupitia Namba ya ...
Dar es Salaam. Baraza la Ulamaa la Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limewasimamisha kazi masheikh watatu wa mikoa baada ya kubaini kuwa mwenendo wao unakiuka misingi ya uongozi wa kibaraza.
Mamlaka za usalama Marekani, FBI na Idara ya Polisi zimekutana na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa ajili ya kupanga mikakati ya kiusalama kwa mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Dunia baina ya ...
Wakati wengi wakiamini waamuzi kutoka Ufaransa, François Letexier na Clément Turpin wameondolewa kuchezesha Kombe la Dunia 2026 kutokana na utata wa mchezo kati ya Argentina na Misri, ukweli ni kwamba ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results