Kigoma. Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na mwanasiasa maarufu, Dk Willbrod Slaa, wamefungua kesi ya kikatiba dhidi ya Waziri wa ...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari,akizungumza katika mafunzo ya tatu ua Mawakili wa Serikali kutoka Wizara,Idara za Serikali zinazojitegemea,Wakala za Serikali na Mamlaka za Serikali za Mitaa ...
Kigoma. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Kigoma, leo Alhamisi, Julai 16, 2026, itatoa uamuzi wa awali katika kesi ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Mjini, iwapo walalamikiwa wana kesi ya kujibu ama la, ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewateua majaji wanne wa Mahakama Kuu Zanzibar akiwemo Katibu wa Baraza la Wawakilishi, Raya Issa Msellem. Pia amemteua Dk Mahadhi Juma Maalim kuwa ...
Azam imemrudisha winga Kipre Junior baada ya kumnunua kutoka MC Alger ya Algeri aliyoitumikia kwa misimu miwili iliyopita. Klabu hiyo imethibitisha usajili wa Kipre Junior mwenye umri wa miaka 26 ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Baada ...
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Baraza la Ulamaa la Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) kuwasimamisha kazi masheikh watatu wa mikoa kwa kukiuka misingi ya baraza hilo, baadhi yao wamefunguka ...
Juzi, nilipiga kanywaji hadi nikazimika na kuzimia kabla ya kuzimuliwa na Fyatuwe aka Bi Mkubwa. Si pale niliposikia mafyatu wakijifyatua, kujidanganya, na kudanganya wengine eti tuombe amani kwa kaya ...
Balozi wa pamba nchini Tanzania, Agrey Mwanri akiwa ameshika zao la pamba kwenye mkutano wa hadhara wenye lengo la kutoa elimu kwa wakulima kuhusu kilimo bora cha pamba wilayani Kishapu mkoani ...
Kitambulisho cha Taifa kinazidi kuwa nyenzo muhimu katika maisha ya kila siku ya Mtanzania. Leo hii, karibu kila huduma muhimu ya Serikali na sekta binafsi inaanza na utambuzi wa mtu kupitia Namba ya ...
Mamlaka za usalama Marekani, FBI na Idara ya Polisi zimekutana na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa ajili ya kupanga mikakati ya kiusalama kwa mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Dunia baina ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results