HUENDA ikashuhudiwa Kariakoo Dabi ya tano msimu huu iwapo Simba na Yanga zitavuka vikwazo vya nusu fainali ya michuano ya ...
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama, ameendelea kuonyesha kiwango bora msimu huu baada ya kufunga katika mchezo wa ...
Simba SC inakaribia kucheza moja ya mechi zake kubwa zaidi katika historia ya klabu hiyo, mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Renaissance Sportive de Berkane ya ...
Wawakilishi wa ukanda wa Afrika mashariki kutoka nchini Tanzania kwenye ligi ya mabingwa Afrika, Simba SC, wametolewa nje baada ya kushindwa na Wydad Casablanca ya Morocco kupitia mikwaju ya penalti.
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi hiyo ...
Klabu mbili za soka za nchini Tanzania, Yanga na Simba zimeyaaga mashindano ya klabu bingwa barani Afrika baada ya kupoteza michezo ya duru ya pili ya robo fainali. Timu ya Yanga ilikufa kibabe baada ...
Tanzania inaweza kusimama kwa muda Jumamosi kupisha pambano la watani wa jadi Simba na Yanga ambalo limepangwa kupigwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam kuanzia saa 10: 00 za jioni. Mabingwa watetezi ...
Pazia la Ligi kuu soka Tanzania Bara linafunguliwa wiki hii huku Jumanne septemba 16 Wadau wa soka wanasubiri kwa hamu pambano la kukata na shoka litakalowakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga.
Katika idadi hiyo Simba inaongoza kwa kushinda mara nne na Yanga ikipata ushindi mara tatu na mara nne zikienda sare lakini kizuri kwa Yanga ni ku... OKTOBA 18 uwanja wa taifa Dar es Salaam kutawaka ...