Katika makala ya Habari Rafiki leo tunaangazia hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, kuunda tume maalumu ya jinai ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuunda tume nyingine maalumu ya jinai itakayochunguza matukio ya vurugu ...
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda tume ya uchunguzi wa jinai kuhusu matukio ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Hatua hiyo imezua ...
Tarehe Moja Desemba, Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alitangaza kuanzishwa kwa kamati mbili ili kushughulikia mgogoro wa ardhi katika wilaya ya Ngorongoro kaskazini mwa Tanzania ...
Rais wa Kenya William Ruto amehitimisha ziara yake ya kitaifa nchini Tanzania kwa kulihutubia Bunge la Tanzania, akisisitiza dhamira ya kuimarisha ushirikiano wa kikanda, hususan katika sekta ya ...
DAR ES SAAM: ZAIDI ya wadau 1,000 wanatarajia kushiriki Kongamano la 12 la wahandisi lenye lengo la kubadilishana uzoefu ...
KUNA mambo mawili yanayomuhusu mshambuliaji wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa la Ivory Coast, Didier Drogba, katika ziara yake ya siku tatu hapa nchini huku akielezea utayari wake ...