Sokwe mwitu wana "mtindo wao wa kupiga ngoma " kwa mujibu wa wanasayansi. Watafiti waliofuatilia na kuchunguza sokwe katika msitu wa Uganda waligundua kuwa wanyama hao hutumiana ujumbe wao kwa wao ...
Kigali, Rwanda – Kigali, mji unaojulikana kwa milima yake elfu moja, wiki hii umevaa sura mpya. Mitaa yake imefurika mashabiki waliovalia sare zenye rangi za taifa, nyuso zilizopakwa bendera, na ...
Licha ya kutawala kwa muziki na midundo ya kisasa ambayo inawapagawisha watu wengi, lakini bado ladha ya ngoma za asili zimebaki kuwa pendwa miongoni mwa wengi. Wasichana wa kundi la Shine wanajifua ...
Midundo ya muziki inayovuma mijini Zimbabwe ni ushahidi tosha kuwa muziki wa Zimbabwe aina ya DanceHall pamoja na mashairi yake vinatamba kusini mwa Afrika na kuangazia masuala mbalimbali. Tumekutana ...