Jeshi la polisi nchini Tanzania limetangaza msako mkali wa kuwatafuta watu wanaowatuhumu kwa kupanga kuratibu na kutekeleza maandamano ya vurugu ya Uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 katika mikoa mbalimbali ...
Msemaji wa polisi ameweka wazi kuwa bado hakuna barua waliopokea inayotoa taarifa ya kufanyika kwa maandamano hayo. Na Mariam Mjahid & Asha Juma Chanzo cha picha, Jeshi la polisi Msemaji wa Polisi ...
Serikali ya Tanzania imewataka wananchi kusalia majumbani mnamo Desemba 9, siku ambayo huadhimishwa kila mwaka kama Siku ya Uhuru wa Tanganyika. Kauli hiyo ilitolewa siku ya Jumatatu Desemba 8 na ...
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema limebaini kile linachodai kuwa ni mbinu zinazotumiwa na baadhi ya watu wanaohamasisha maandamano yanayotarajiwa kufanyika Disemba 9, ikiwemo maelekezo ya namna ...
Ripoti ya HRW imesema ukandamizaji kabla ya maandamano ya Jumanne Dec, 9 nchini Tanzania, kutokuheshimu haki ya watu kufanya maandamano ya Amani ni makosa yanayofanywa na utawala wa Tanzania. Shirika ...
Kwenye mitandao ya kijamii, siku ya Jumanne, Desemba 9, 2025, vyombo vingi vya habari vya Tanzania vilionyesha picha za miji iliyosalia tupu. Kwa kuzingatia hali ya jumla ya nchi, mji mkuu wa kiuchumi ...
(Nairobi) – Serikali ya Tanzanian inapaswa kuchukua hatua za haraka kukabiliana na kudorora kwa hali ya haki za binadamu nchini kabla ya uchaguzi ujao wa serikali za mitaa Tanzania Bara mnamo Novemba ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results