"Kitu ambacho sijawahi kusema ni kuwa Rais (John Magufuli) aliniita akaniambia CDF njoo, akaniambia siwezi kupona. Waamuru hao madaktari wanirudishe nyumbani. Nikamwambia mheshima sina hayo mamlaka.
Imechapishwa 03.11.2025 Imechapishwa 3 Novemba 2025 ilisahihishwa mwisho 05.11.2025 ilisahihishwa mwisho 5 Novemba 2025 Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameapishwa siku ya Jumatatu na kuanza kazi ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameapishwa leo Jumatatu kuiongoza nchi hiyo kwa muhula mwingine wa miaka mitano chini ya ulinzi mkali. Anaapishwa baada ya uchaguzi uliokumbwa na maandamano yenye ...
Ibara ya 37 kifungu cha Katiba nchini humo, kinaeleza kuwa, endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na ...
Samia mwenye umri wa miaka 61 ameapishwa kuchukua wadhifa huo baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli. Yeye ndiye mwanamke wa kwanza kuwa rais nchini Tanzania. Samia ameapishwa leo Ijumaa katika ...