Baada ya tajiri wa Tanzania, Rostam Aziz, kununua hisa nyingi za Kampuni ya Nation Media Group – kampuni kubwa zaidi ya vyombo vya habari Afrika Mashariki, wanasiasa, waandishi na wachambuzi ...
Katika Kijiji kimoja kinachotegemea uvuvi cha Sedanka, mashariki mwa Urusi, maisha yamekuwa magumu. Makaazi kadhaa yamekosa huduma muhimu kama maji, vyoo vya ndani, vifaa vya joto licha ya eneo hilo ...